figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,493
- 54,900
I hate msemo wenu wa "mia" kaa mazuzu
Jeshi limeamua kuja na ndege aina nyingine tofauti na zile zinazopita kasi. leo wanazunguka kwa ndege moja kubwa sana yenyewe inapita chini sana ikikwepa majumba marefu. kidogo bawa lake liguse nguzo ya uwanja mpya. Nashauli wakaipark la sivyo mjini watu watakimbia ovyo ovyo. Mia
I hate msemo wenu wa "mia" kaa mazuzu
I hate msemo wenu wa "mia" kaa mazuzu
Hatuna pia tuna nchi isiyo na raisjwtz haina ndege zisizo na rubani?
Hatuna pia tuna nchi isiyo na rais
vipi ile makofi ya yule mama, umechukua PF3 mkuu?, kutibiwa ni muhimuhilo dege kubwa la kijivu nilishawahi kulipipiga jiwe, rubani alipiga yowe huyoo!!!! Bujibuji utaniua mwana, dege lenyewe hili lilitumika kwenye vita vtya majimaji...
Bujibuji kama kawa, just making your night to be very special
vipi ile makofi ya yule mama, umechukua PF3 mkuu?, kutibiwa ni muhimu
i hate msemo wenu wa "mia" kaa mazuzu
Ile ndege c ilitegenezwa kwa ajili ya kubebea mikate na kutupia raia wakat wa vita ndo mana inapita chinichini.100
hajanichana, kanitoa alama tu. Tumeyamalizaa, nenda kasome ile thread