Hizi Nazo

Hata kama kuna mapungufu moja mbili mfano kwenye mwavuli (ile material ambayo siyo majani) ingetumika fito laini (fresh branches) za matawi ya miti, ingekuwa superb. All the same, I like that, good creativity.
 
Hawa ndio wale Adam na hawa eh???

Kwa rafudhi ya Mr beneficial..
 
Mbona hii picha inanikanganya, hapo jamaa kabeba ufagio au ni macho yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…