Lucky One JF-Expert Member Nov 27, 2013 663 430 Dec 12, 2013 #1 Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi? uwanja wenu sasa.......
Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi? uwanja wenu sasa.......
Mlaleo JF-Expert Member Oct 11, 2011 13,395 9,766 Dec 12, 2013 #2 We ni Mzima? Mbona haichekeshi....!
KML JF-Expert Member Apr 2, 2012 861 133 Dec 13, 2013 #3 Mlaleo said: We ni Mzima? Mbona haichekeshi....! Click to expand... Dah mkuu ata zuga basi...umeua mno
Mlaleo said: We ni Mzima? Mbona haichekeshi....! Click to expand... Dah mkuu ata zuga basi...umeua mno
faby JF-Expert Member Feb 18, 2011 2,214 765 Dec 13, 2013 #5 naona shangingi upo mitaa hii! halafu sikutaji jina ila ushajijua