Hizi meseji nazo

Lucky One

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
663
430
Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti
Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi?
uwanja wenu sasa.......
 
naona shangingi upo mitaa hii! halafu sikutaji jina ila ushajijua
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom