hii kitu inanikumbusha kifo cha jamaa mmoja alikuwa Fundi pikipiki alikuwa anakaa kigogo mburahati kama sikosei sasa ilikuwa kila akipita kigogo tzf mpaka maeneo ya msikitini hizo mbwembwe za kuruka juu na hilo baja na sauti za masela weweee siku ilipo fika alivyoruka akakosea kutua,jina lilibadirika mida hiyohiyo.ilikuwa mwoshoni mwa 1998 au mwanzoni mwa 1999
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.