Aliyekuambia rais ni mtumishi wa umma kakudanganya, rejea hotuba ya JK wafanyakazi walipotaka kugoma alisema “mimi ndio muajiri Number one” wafanyakazi muamue kunisikiliza mimi au mmsikilize katibu mkuu TUCTA (Mgaya by then). Mgomo haukufanyika. Kwa taarifa yako tu Likizo kwa viongozi wakubwa wengi kama Rais, RC, Mawaziri huwa likizo zao wanachukua siku chache chache kwa mwaka mfano siku saba, baadae siku kumi etc hadi siku 28 zinaisha. So Mh. Rais hajakoseaWatumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)
Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4
Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Kama anaenda likizo achukue mwezi kueleweke na asubiri hadi mwaka uishe ndio arudi kwao, sasa kila mtumishi akiwa anajichukulia siku 3 then anarudi kazini hali itakuwajesijaona tatizo....ye huwa haendi mwezi+ kama watumishi wengine....so hata kama anaenda siku tatu kila mwezi bado hafikii jumla ya siku za likizo za annual ambazo huwa hazijumlishi weekend na holidays....NB:sio kila kitu ni chakukosoa
kwanini lisikosolewe wakati nchi hiihii kuna viongozi wamezuia likizo kwa watumish?B:sio kila kitu ni chakukosoa
Yeye ni Raisi mkuu...hawezi kukosekana ofisini kwa mwezi mzima at once,anyways hayo ni maoni na mtazamo wakoKama anaenda likizo achukue mwezi kueleweke na asubiri hadi mwaka uishe ndio arudi kwao, sasa kila mtumishi akiwa anajichukulia siku 3 then anarudi kazini hali itakuwaje
Sio kila baada ya muda mfupi anarudi chato
Aliyekuambia rais ni mtumishi wa umma kakudanganya, rejea hotuba ya JK wafanyakazi walipotaka kugoma alisema “mimi ndio muajiri Number one” wafanyakazi muamue kunisikiliza mimi au mmsikilize katibu mkuu TUCTA (Mgaya by then). Mgomo haukufanyika. Kwa taarifa yako tu Likizo kwa viongozi wakubwa wengi kama Rais, RC, Mawaziri huwa likizo zao wanachukua siku chache chache kwa mwaka mfano siku saba, baadae siku kumi etc hadi siku 28 zinaisha. So Mh. Rais hajakosea
Ulichokuwa unakitafuta umekipataAstaghafirullah
labda kwa baadhi ya taasisi za serikali ila kwa ninayoijua mimi,weekend na holidays haziesabiwi kwenye annual leave ndo maana watu huwa wanagombea mwezi wa 12 maana una holidays nyingi so badala ya siku 28 unapata mpaka 40+Mkuu Grey256 ,katika likizo za kiserikali,sikukuu na mwisho wa juma hujumuishwa. Siku 28 huhesabiwa mfululizo tu.
Hapo kuna hoja lakini kwa sababu ya ushabiki itapotezwa!