MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
2;kijana aliyempiga kibao mzee ruksa alishahukumiwa kwenda jela sikumbuki kifungo ni cha muda gani.
Wadau mtaniwia radhi kwa kutokuwa na habari kuhusu hizi kesi ambazo zilivuma sana, lakini ghafla zimezima kama moto uliomwagiwa maji:
1. ile kesi ya mzee wa UTAMU, walisema ataletwa nchini,ohh amekamatwa...
2. yule kijana aliyempiga Mwinyi kibao kwenye sherehe....
3. lile suala la buzwagi nani alishinda? je pale hakukuwa na kesi ya kujibu mbona ni richmond tu inatajwa..??
nimetanguliza samahani kwa wajuaji na waongeaji mliojaliwa midomo....

Nendeni mahakamani mkaombe updates kama mna maslahi na hizo kesi!