- Thread starter
- #21
Mimi kwa kazi hii sihataji mshahara kabisa.View attachment 996350
Acha ujinga wewe, unadhani njaa inamalizwa na pusssy?
Mkuu mimi si wewe. Nitizame tu. Hapa kwanza Muda wowote naweza nunuwa bodaboda iwe kama part time.
Mi boda boda yako yanini mkuu.. We nunua tu
Kwa kupitia boda boda ni njia rahisi sana kupata mademu wa sample tafauti kabisa. Nimeshafanya research ya kutosha.