DOKEZO KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
866
Reaction score
805
Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta?

Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali.

Kuna shule moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana Kata ya ITIJI ni Shule ya Kata imekuwa na utaratibu mbaya kwa Wanafunzi wa vidato vya mitihani, yaani mahitaji kwa mwezi ni mengi balaa.

Mfano Mtoto anatakiwa kila mwezi kupeleka vitu vifuatavyo:
1. Debe Moja la mahindi
2. Shilingi 48,000
3. Sukari kilo Moja
4. Ndonya saba za maharage
5. Ndonya nne za mchele
6. Pakiti moja ya chumvi

Jambo la kushangaza hayo mahitaji ni kila mwezi na hiyo Shilingi 48,000 wanadai ni kwa ajili ya Mbogamboga na matunda lakini Wanafunzi hawapati hizo mboga na hayo matunda.

Pia, wali wanakula mara moja kwa wiki, sasa je, kuna Mwanafunzi anayepewa ndonya moja kwa mlo mmoja?

Wanadai pesa ya maji na umeme, inamaana shule haina bajeti ya maji na umeme kutoka Serikalini hadi walipe Wanafunzi?

Hii imekuwa kero sana kwa Wazazi na Walezi.

Pia soma ~ Wanafunzi madarasa ya mitihani (Bukoba Vijijini) wanaacha shule kwa kukosa michango ya kambi ya maandalizi
 
Habari ndugu zangu,hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi wanafunzi waliyo Kwenye vidato vya mitihani nani ameuleta?

Maana umekuwa ni mradi Kwa baadhi ya walimu wa shule za serikali wasiyo na maadali.

Kuna shule Moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana kata ya ITIJI ni shule ya kata imekuwa na utaratibu wa hovyo Kwa wanafunzi wa vidato vya mitihani.

Yaani mahitaji Kwa mwezi ni Mengi balaa

Mtoto anatakiwa Kila mwezi kupeleka vitu vifuatavyo:
1.Debe Moja la mahindi
2.Elfu arobaini na nane
3.sukari kilo Moja
4.Ndonya saba za maharage
5.ndonya nne za mchele
6.pakiti Moja ya Chunvi

Cha kushangaza hayo mahitaji ni Kila mwezi na hiyo Tsh 48 wanadai ni kwaajili ya Mboga mboga na matunda,lakini wanafunzi hawapati hizo mboga na hayo matunda .

Pia wali wanakula mara moja Kwa wiki,Sasa je Kuna Mwanafunzi anayepewa ndonya Moja Kwa mlo mmoja?

Pia wanadai pesa ya maji na umeme,Ina maana shule Haina bajeti ya maji na umeme kutoka serikalini hadi walipe wanafunzi?

Hii imekuwa kero sana Kwa wazazi .
Huo mpango upo hata huku Dodoma ni nzuri,ila hizo gharama kwa kweli ni kubwa! Dodoma ni kame na vyakula ni bei kubwa,hata elfu thelasini haifiki.Upigaji huo kabisa.
 
Habari ndugu zangu,hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi wanafunzi waliyo Kwenye vidato vya mitihani nani ameuleta?

Maana umekuwa ni mradi Kwa baadhi ya walimu wa shule za serikali wasiyo na maadali.

Kuna shule Moja Jijini Mbeya inaitwa ITIJI SECONDARY inapatikana kata ya ITIJI ni shule ya kata imekuwa na utaratibu wa hovyo Kwa wanafunzi wa vidato vya mitihani.

Yaani mahitaji Kwa mwezi ni Mengi balaa

Mtoto anatakiwa Kila mwezi kupeleka vitu vifuatavyo:
1.Debe Moja la mahindi
2.Elfu arobaini na nane
3.sukari kilo Moja
4.Ndonya saba za maharage
5.ndonya nne za mchele
6.pakiti Moja ya Chunvi

Cha kushangaza hayo mahitaji ni Kila mwezi na hiyo Tsh 48 wanadai ni kwaajili ya Mboga mboga na matunda,lakini wanafunzi hawapati hizo mboga na hayo matunda .

Pia wali wanakula mara moja Kwa wiki,Sasa je Kuna Mwanafunzi anayepewa ndonya Moja Kwa mlo mmoja?

Pia wanadai pesa ya maji na umeme,Ina maana shule Haina bajeti ya maji na umeme kutoka serikalini hadi walipe wanafunzi?

Hii imekuwa kero sana Kwa wazazi .
Jiandae kutukanwa na walimu wa jf.... wana umoja humu
 
Ndonya ni nini
 
Walimu wanapambana kuondoa haya ma zero ila wazazi wameyakumbatia

Wanahisi mwenye hasara ni mwalimu.

Screenshot_20250830-222242_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20250830-222844_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom