Ni mpya suka kaambiwa apite chini chini ili wananchi wazioneKuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze 😁
Mwenyewe najiuliza afu zinapita njia ambayo hatujawhi kuona! Imeanza ndege then helicopters nyieee🙆🏽♀️Kuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze 😁