Hizi hapa Diamond karanga

Hizi karanga zimetengenezwa na smart kampuni inayojiusisha na utengenezaji wa chama snacks zile zinazopendwa sana na watoto ila kuhusu makubaliano hapo ndipo sijajua hata mimi ngoja tusubili wajuzi
 
Hizi karanga zimetengenezwa na smart kampuni inayojiusisha na utengenezaji wa chama snacks zile zinazopendwa sana na watoto ila kuhusu makubaliano hapo ndipo sijajua hata mimi ngoja tusubili wajuzi
So watoto tu. Mi na uzee wangu napenda sana zile zingine. Chipsy snacks.
 
Ila design ya vifungashio kama sabuni ya Omo,angejaribu kuweka atleast rangi nusu kwa juu ya package iwe Transparent na chini iwe iyo blue .Otherwise jamaa yupo vizuri kwenye ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…