Hizi hapa bei mpya ya vifurushi vya azamtv

Awadh Mbwana

Member
Oct 24, 2014
52
40
22ae415bd128a93a58980a508ea30086.jpg

RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo..
Azam pure 18000/=
Azam plus 23000/=
Azam play 28000/=
hii inatokana na kuongezeka kwa chanel za burudan ikiwemo ile azam sport 2....
 
huu sasa ni kuumizana mnapandisha kwani kuna ulazima gani wa mtu kulazimishwa kuangalia hiyo channel. mtapoteza wateja bora kuwa na startimes sasa
 
22ae415bd128a93a58980a508ea30086.jpg

RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo..
Azam pure 18000/=
Azam plus 23000/=
Azam play 28000/=
hii inatokana na kuongezeka kwa chanel za burudan ikiwemo ile azam sport 2....
Bei inabadilika toka Tzs ngapi kwenda Tzs ngapi?
 
Kiukweli serikali iwatazame upya Azam ni wezi hawa kwani ni lazima kulipia vifurushi vya Mpira mnawaibia watu live me binafsi nahamia Startimes pia iwaje channel za nyumbani hamziachi mnaacha TBC tu sheria inasemaje acheni wizi AZAM

Sent using Iphone 7+
 
what's your point hapo? unakimbia gharama au unakimbilia gharama?
Suala sio kukimbia gharama unaongeza channel halafu unaongeza bei je kulikuwa na ulazima gani wa kuongeza hiyo channel na kulazimisha watu waone anaetaka sawa sio wote wanataka kuangalia mpira hebu mliangalie hilo kwa maraefu na mapana maana hata Dstv wana channels additional kama ukizihitaji ndio malipo yatakuwa juu.
 
22ae415bd128a93a58980a508ea30086.jpg

RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo..
Azam pure 18000/=
Azam plus 23000/=
Azam play 28000/=
hii inatokana na kuongezeka kwa chanel za burudan ikiwemo ile azam sport 2....
waambie maboss wako waache kuwaibia watz, alafu hizo channel mnazoongeza utakuta ni za kihindi hindi tu makachori sana nyi
 
Back
Top Bottom