Hizi fasheni sasa mmh

hahahahaha jamaa anajaribu kupandisha kiwango chetu cha furaha, maana khali ni mbaya tuko 3 bora toka mwisho
 
usikute shati lipo kipisi!
 
Haaaaaaaa ndio maana waimba kwaya wakaimba hivi, "Na tuliponyang'anywa ufalme na raha, wewe ukarudisha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…