BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,527
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili..
Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo ndio uchawi ulipo, na wazazi wanajifanya wako busy hawahangaiki kufuatilia baadhi ya mambo.
Mfano, utashangaa darasa labda wako wanafunzi 70, kwenye matokeo ya darasani na yanayo tumwa kwa wazazi hutaona mtoto alio shika nafasi ya 70, wanaweza ishia kwenye 20 au 30 tu unakuta nafasi 1 wanawekwa wanafunzi 10, wanafanya hivi kuwafurahisha wazazi na wanaogopa kumuweka mtoto amekuwa wa mwisho make mzazi atakasirika na anaweza muhamisha mtoto wake hapo hivyo ili kuwafurahisha wazazi wanafanya mtindo wa kufungamana kwamba kila nafasi wanafungana watoto kama 10 hivi kwa zile za juu tu.
Hilo hawafanyi kwa bahati mbaya ni Marketing strategies ya kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi. na wanajua fika sio rahisi mzazi kufanya ufuatiliaji na hata ukifanya watakuambia wamefungana yes.
Sasa jiulize kama watoto wako 70 kwa nini wafungane waishie kwenye 30 au 20? kwa nini hakuna mtoto wa 60 wala 50 wala wa mwisho alie shika mkia?