Hizi Big Brother's zina mambo...

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,096
Reaction score
12,724
Ona watu wanavyofanya mambo kwenye Big Brother ya Brazil,, sijashawishika kumruhusu Mpenzi wangu akashiriki haya mashindano....

[video]http://www.zapkolik.com/259496/bbg-brezilya-havuzda-deve-guresi.html[/video]
 
heee!!!! hii ni hatari jamani, mpenzi wako akiienda kubali yote hata hivyo mtakuwa tayari mmekubaliana
 
KWANGU HAYANA MAANA HAYO MA BB,NI KAMA FIESTA ZA TZ, watu wanafanya mambo yasiyo na mpango kabisaaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…