Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,212
- 48,763
Habari!
Mara nyingi nasema kuwa ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ya Tanzania. Serikali inaponyesha nia ya kuwa upande wa wananchi roho ya uzalendo inachipua yenyewe mioyoni mwa wananchi automatically.
Serikali hii ndio imetoa vibali kwa kampuni za kukopesha za Mtandaoni zinazofanya biashara ya blackmail.
Watu wanasoma mikataba wanakopa wakibonyeza kitufe cha kuruhusu mkopo dk ya mwisho mkopo unabadilishwa, hapo mteja system haimpi tena haki ya kusoma terms, hawezi kucancel. Badala yake mkopo alioambiwa wa mwezi mmoja atadaiwa siku ya 3 au ya 4 na asipolipa anachafuliwa. Serikali iko comfortable.
Microfinance kama BanC ABC, Diamond Platinum zinafanya mchezo huohuo kwa watumishi wa umma.
Jana nimepata mshahara kupitia account yangu ya CRDB, naamka leo nikitazama salio nimekatwa annual fees mara 2, VAT mara 2. Elfu 40 mzima haipo. Kama hii fedha nikiiacha wiki moja sikuti hata mia.
Kama vipi pesa tulipwe mikononi kama watumishi wa zamani. Pesa yenyewe ndogo benki kila wakati wanazipitia tu wakijua hatuna mtetezi.
Hivi elfu 40 wakikata kwa watumishi elfu 50 hapo wamejipatia pesa haramu sh.2,000,000,000.
Ukihamisha laki 1 tu kutoka CRDB kwenda kwenye simu yako au ya mzazi kijijini unakatwa zaidi ya 5000 sh.
Hapo kuna monthly fees tena zinakuja.
Mimi nionekane tu mshamba ila sitathubutu kuweka benki pesa zangu.