Hizi Battle huwa zinanifurahisha sana,sijui nani ataibuka na Ushindi!.

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nisikuchoshe na usinchoshe,tusichoshane!.

Kuna Battle zinaendelea hapa JF ambazo kwa mtazamo wangu nadhani ndizo Battle kali ukiacha Battle ya Simba na Yanga.


1. Battle ya Dar es salaam vs Nairobi

2. Battle ya Mwanza(The Rock City) vs Arusha(A town)

3.Battle ya Dodoma(CBD) vs Mwanza(CBD)

4.Battle ya Kahama vs Mafinga/Njombe

Kwenye hizi Battle kila mtu hataki kushindwa na kila mmoja huvutia kwake.

Kwenye hiyo Battle ya Kwanza,Watanzania wengi wanaipambania sana Dar es salaam,pia wapo wachache wanaoiunga mkono Nairobi.

Pia wakenya wanaipambania Nairobi kwa nguvu zote lakini wapo pia wachache ambao wanaisurubu.

Hiyo Battle ya Pili ina ushindani mkali kweli kuliko hizo battle nyingine,ingawaje hata hizo battle nyingine zinapelekeana moto kweli kweli lakini hiyo battle namba mbili wamekabana kooni kisawasawa,kiukweli huwa nafurahi sana na siku yangu huwa inakwenda murua kabisa ninapopitia hizo nyuzi.


Nasubiri siku moja kuona mshindi
 
Back
Top Bottom