Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Ya kwanza means gari lako lina siriazi problem kwenye engine ya pili haionekani vizuri ya tatu ina maana unatumia four wheel tena high mode ile ya milima korofi na matope so mafuta balaa na gari linakuwa jepesi weka neutral. Umeelewa?
Nadhani hamjamuelewa nilivyo mfahamu Mimi hiyo taa inowaka kwenye dashboard ni nini hiyo inowaka ni chock altaneter itakufa wakati wowote itakuja kuzimikia lakini sio tatizo kubwa ampelekee fundu avisafishe vibrashi tu
Ya kwanza hiyo taa inapashwa kuzima mara tu injini inapoanza mzunguko. Kama itaendelea kuwaka wakati injini inazunguka maana yake ni kuwa injini oil level iko chini sana hivyo kapime kwenye dipstiki halafu uongeze oil.
Ya pili ni gia transimisheni park(P),rivasi(R),nyutro(N), foo whili draive (4-D)loow (L) hiyo unaitumia kwenye mteremko mkali na 3 inatumika katika mpando mkali

check engine light huwa inasababiswa na vitu vingi sana, inaweza kuwa oil level kama unavyosema , lakini njia pekee ya kujua tatizo ni kuipima gari kwenye computer !
pia nahisi pale kwenye airclearner pia kuna sensa ambayo hutumia hiyo taa ya kwanza ila jaribu kuhakiki kwa wengine
Ya kwanza hiyo taa inapashwa kuzima mara tu injini inapoanza mzunguko. Kama itaendelea kuwaka wakati injini inazunguka maana yake ni kuwa injini oil level iko chini sana hivyo kapime kwenye dipstiki halafu uongeze oil.
Ya pili ni gia transimisheni park(P),rivasi(R),nyutro(N), foo whili draive (4-D)loow (L) hiyo unaitumia kwenye mteremko mkali na 3 inatumika katika mpando mkali
Asante sana mkuu, hapo kwenye ya kwanza inawaka na kuzima very often..aaaghr sawa ntafuatilia
Ya pili ni ipi gear ni poa, ama free-drive gear. Kuna 3, 4D je ipi ndio option ya kuendesha kikawaida? Menu ya kijapan chenga tupu