Hizi Airbus za Zakaria ni balaa

Hizi Airbus za Zakaria ni balaa

biashara matangazo.haya nenda kachukue ujira wako kwa zakaria.
 
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu

Mkipata mzinga usije kulalamika
 
Cc: charminglady
Zakaria airbus ni nouma, na siku hizi ameyapa majina ya Mtakatifu.... Yuda n.k labda yatakuwa hayaachi njia wala kugonga ng'ombe
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwendo wa kawaida tu max 100km/hr

100km/hr ni kawaida?! Sheria imeweka 80km/hr

Hizo zilizoongezeka ndizo majeruhi wakiwa vitandani huwa wanasema '' dereva alikuwa anaendesha kwa speed sana''

Wakati huo huna mguu na ushavunjika mbavu tatu.......
 
Mtoa mada atakuwa mke wa ZAKARIA......au dada yake na ZAKARIA

Sijawah kupata ban ustake nipate ban sawa kuwa na adabu kama umezoea kubinuliwa sio wote wanaobinuliwa ngoja niishie hapo maana naeza kukutukana sema nakuonea huruma si makosa yako ni malezi uliyolelewa
 
Umejiunga bure JF na bado na matangazo nayo wafanya bure,fanya haraka ULIPIE TANGAZO LAKO SIKU HIZI HAKUNA VYA BURE ZAIDI YA SALAMU.
 
Hiyo barabara ya Mwanza Musoma/Sirari kuna basi limeandikwa Champion, linatoka Mwanza hadi Sirari na kurudi. Hilo ni balaa, hizo Yutong za Zacharia pale hazigusi.
 
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu

Naona wa tanzania ndio tunawasababisha madereva kuendesha speed ya kutufikisha ahera mapema.yaani wewe unafurahia mwendo kasi?
 
kweli kuna watu huwa hampendi maisha yenu bora uchelewe kufika kuliko kwenda kwa spidi kali,its very risk
 
Mmiliki wake nikada CCM na nijambazi sugu police wamwogopa kama ukoma!
 
Sijawah kupata ban ustake nipate ban sawa kuwa na adabu kama umezoea kubinuliwa sio wote wanaobinuliwa ngoja niishie hapo maana naeza kukutukana sema nakuonea huruma si makosa yako ni malezi uliyolelewa

dah!mbona umepanik hivyo,inaelekea kuna kaukweli kdg
 
Back
Top Bottom