Hizi Airbus za Zakaria ni balaa

Hizi Airbus za Zakaria ni balaa

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu
 
We furahia kifo maana hakuna hasiye jua kuwa mwendo kasi unauwa.
 
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu

Omba mungu kila siku ufike hivyo hivyo salama. Lakini sio yakuomba siku ya siku
 
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu

Mtu anayeitwa na Islael utamjua tu.
 
Mbona mwendo wa kawaida tu max 100km/hr
 
Ungekufa usingepata muda wa kutuletea story

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Weka picha

animated_van_riding_scooter.gif

KNY: #TeamWekaPicha
 
Wakuu nimesafiri na gari za zakaria express kutoka tarime kwenda mwanza yeye anaziita airbus ni yutong ni balaa mwanza Tarime masaa mawili Na nusu wakati mabasi mengine yanenda kwa saa 4 nachozipendea ni kwamba hazisimmi simami barabarani yaani hapo ukitoa checking imesimama bunda tu
Zakaria Kakobe huyo?
 
Back
Top Bottom