Hiyo Tecno Phantom Z, ni bei gani?

Hiyo Tecno Phantom Z, ni bei gani?

Wameandika tu bei poa lakini hawasemi ni Tsh ngapi???
 
Ipo phantom Z mini Only for 455,000/=tshs
contact: 712 888 884
 
Wewe yaonyesha ni mgeni kwenye ulimwengu wa smartphones !!! Likitokea tatizo ambalo halipo kwenye warranty , mteja anatozwa pesa ya kifaa kilichoharibika tu ila ufundi ni bure kwenye customer care !!! Nenda kwa Fundi wa mitaani ukatengeneze simu yako ... Nunua kifaa alafu mwambie akutengenezee bure .. Utaona jibu analokupa ... Warranty ina faida kibao ambazo wewe huzijui ... Kwa information zaidi kuhusu warranty - 0655 518090
 
Back
Top Bottom