Hiyo screen hapo nyuma ina kazi gani hasa?

Hiyo screen hapo nyuma ina kazi gani hasa?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
10516828_10205044096968408_4918668941970394731_n.jpg
 
Waliokaa meza ya mbele ndio wanaiangalia
 
Mara nyingi inatumika kusomwa na presenter aliyepo mbele kwenye jukwaa, mnaomwangalia huyo presenter mnaweza dhani jamaa anatoa data kichwani kumbe anazivuta toka kwenye hiyo screen iliyo nyuma yenu..
 
Unarejea Hotuba za Mwisho wa Mwezi za Mh Rais?
 
Teknolojia ya upashanaji habari na mawasiliano imeendelea kiasi kwamba ni vigumu kuelewa kwa undani vipengele vyake vyote.
 
Back
Top Bottom