Hiyo ni fake!

Hiyo ni fake!

Mkuu nenda studio, nakuapia utatoka kwa mashairi haya; HIYO NI FAKE, NI FAKE TU HATA USEMEJE, HIYO NI FAKE! I like it.
 
Sasa hizo raba simple aina ya CONVERSE hata zile zinazouzwa maduka ya bata nazo ni fake?
 
huu sasa ni ukorofi,mke wa mtu ana ingiaje hapa?

Sio swala la mke wa mtu. ni wanawake wote hata wako na wangu wanahivyo vitu FEKI. Kama unae karibu hapo huyo wa kwako, hebu mcheki utaona vitu feki vinavyokufanya ubabaike kumbe sio sura yake halisi
 
Khaa!! Watu wengine bana wanadhani kitu kuuzwa bei ya ghali basi ndiyo kitu bora. Hawajui hata bei ya vitu inapangwaje. Hawa ndiyo baada ya mavuno wanenda dukani na kusema " NATAKA SHATI LA LAKI MBILI!" Tujifunze na tusikariri :yawn:
 
Chama kimoja wagombea zaidi ya 30 wengi ni fake!
 
Hata Tanzania ni taifa feki,taifa gani linaagiza hadi toothpick kutoka China? Taifa gani hata sindano tu zinatoka nje? Hata chupi zinatoka nje? Taifa halina bidhaa za kujivunia linazouza nje,lina watu feki,mtu kama Faizafoxy unaweza kusema kuwa ni binadamu orijino kweli huyo?
 
Siku hizi hakunaga origino kila kitu ni feki kuanzia sisi watu,taaluma zetu,nk,vyote feki.
 
Bidhaa znatengenezwa kulingana na soko husika.
Pia Cocacola ya tz uwezi linganisha na ya UK au USA, je ni FAKE ?
unachokizungumza kipo na kinafanyika lakini kwa bidhaa chache sana,ila kwa ujumla wake watanzania na waafrika tunatumia vitu vingi fake,from head to toe.
 
Hapa duniani hakuna kitu feki..huo ni uongo... vitu vinatengenezwa kwa standard tofautitofauti.. kila mtu anunue anachoweza.. nothing is fake.
 
kumbuka kuna mitumba ALL STAR CONVERCE kwa tsh.15000/- original kabisa
 
Back
Top Bottom