The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,710
sio kujisahau...it could be FM way of communication to FM members!
Hebu nambieni wavaa suti. Hivi kutofunga kifungo cha mwisho cha koti ni style au kujisahau?
Ndio inavyovaliwa, kifungo cha chini hakiifungwi.......mojawapo kumpa mvaaji uwezo wa kurelax hasa akiwa amekaa, kHebu nambieni wavaa suti. Hivi kutofunga kifungo cha mwisho cha koti ni style au kujisahau?
kushikana mikono kama bibi na bwana sijui maana yake nini...ila haijakaa vizuri!Nimekupata, kweli inawezekana ni ishara fulani ya utambulisho maana hii inatokea kwa wengi kuacha kifungo cha mwisho. Vipi kuhusu kushikana mikono kama bibi na bwana?
Teh teh....waaume kushikaa vidole.
Mbona JK anataka kumshika mkono mwenzie? Na huo mfuko wa koti ndo alikuwa anatoa maembe ama?Mambo gani haya sasa jamani!