wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa @FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa FPMadame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!
Usikasirike Shoga.
Ngoja nikutafutie ila kwa muda huu ambao nakutafutia,njoo tujibanze kwa Rutta wangu kwanza mpaka hapo nitakapokutafutia,umesikia Ciello?