Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,463
Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi
 
cc MK254
 
Ati karne ya 19, ni ubishi tu watafuta wewe. Hebu linganisha haya:-

Madaladala ya dar
shutterstock_252509389.jpg

tanzania-august-09-063.jpg

Matatu ya Nairobi
mnajap5javih7dobct567f90108c4b1.jpg

jatepxwre6olad567f8f9cb22b8.jpg

-matatus_nairobi_kenya-5672.jpg

A_matatu.jpg

Zipi zake Vasco da Gama?

From rotating floor projector screens to aquariums: Top 10 hottest matatus of 2015[/IMG]
 
Costa za Dar ndo wazilinganisha na hizi za Nairobi? ?? Hahahaha...
 
Ma-three...odion, afya center, eastleigh...embaa

Back to topic...huwezi linganisha matatu na daladala kwasababu kwanza ziko pimped sana yaani flat screen, wifi, music system etc. Pili watu hawasimami wanakaa mpaka konda ana-seat yake na pia nauli ipo juu kati ya ksh 40 mpaka 80 kutegemea na muda na unapokwenda.

Pia zina swagg flani hivi kwahiyo zina_appeal kwenye lifestyle...

Kuhusu design kuna bodybuilder company nyingi sana Kenya ambazo zinatengenza body za semi_trailer, mabasi, ma3 etc. Kama Lshs

Kwahivo nadhani yakwao ni mazuri kuliko hizi toyota coaster za bongo ambazo watu husimama wakati no fupi, seat zimeongezwa kimagumashi etc
 
Zile matatuu nimezipanda. Kwa kweli daladala ni bora zaidi sema tu zinajaza sana
 
Hongera zao kama wanaunda bodi wenyewe ila wapunguze hayo madoido maana hayana tija kwa karne hii
 
Ndio haya haya. Yakianza kuchakaa utayajuta. Cheki na hizo rangi
Naam, kila kitu huzeeka na ndio maana Matatu asilimia kubwa ni takriban mwaka moja tu kwa uzee. Kisha angalia madaladala yenyewe yashachakaa pindi yawekwapo barabarani, sasa yakizeeka kutakuaje.
 
hamna kitu hapooo.....>>>>> yamejaa kunguni hayo maboksi

A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.
According to conductors plying the routes, passengers unknowingly carry the pests and 'deposit' them in the matatus.
The bedbugs are also said to be transferred by city tenants relocating using public transport.
According to a report by the Standard, commuters shy away from boarding vehicles suspected to be infested by the bedbugs.
“These parasites are now threatening to cripple our business since many people fear to board public service vehicles,” said Chrispin Omollo, a conductor.
It is claimed that old matatus with sponge seats play host to most of the pests. Such matatus are usually preferred by a majority of city residents due to their relatively lower fares.
Following the infestation, most matatus now have stickers urging passengers to contact the respective SACCOs for fumigation services.
Matatu Welfare Association Chairman Dickson Mbugua has urged Nairobi residents to file complaints with bus companies whenever they notice bedbugs.
nairobinews.
 
Back
Top Bottom