Kwani si ni part ya Tanzania na hiki ndicho raisi anajaribu kufuta. Tunajiuta nchi moja lakini utendaji wetu ni wa nchi mbili mpaka tunacompeteZanzibar wanategemea sana utalii. Inaingia akilini wakimiliki shirika la ndege. Wanalo? Wamewahi kuwa nalo?
Kwani si ni part ya Tanzania na hiki ndicho raisi anajaribu kufuta. Tunajiuta nchi moja lakini utendaji wetu ni wa nchi mbili mpaka tunacompete

Nchi moja kwenye makaratasi. Mbona watu wa bara hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Tena moja ya vipengele vya kijinga vya muungano ni hiki.Kwani si ni part ya Tanzania na hiki ndicho raisi anajaribu kufuta. Tunajiuta nchi moja lakini utendaji wetu ni wa nchi mbili mpaka tunacompete
Zanzibar wanategemea sana utalii. Inaingia akilini wakimiliki shirika la ndege. Wanalo? Wamewahi kuwa nalo?
Tena ushuru wenyewe unaweza nunua hata mzigo mwingine wa biashara,.kha!!Nchi moja lakini ukipita na mzigo wako bandarini kuna ushuru plus kodi![]()
tena ka tv cha inch 21 utafikiri umebeba cocaine!Nchi moja lakini ukipita na mzigo wako bandarini kuna ushuru plus kodi![]()