mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
hacha ulongo _hii vita ya mwarabu na muhindi
Kama ni vita, basi ni ya Mwarabu anayesaidiana na Msomali dhidi ya Muhindi.
Lakini nani kasema Yanga hawataki ligi ioneshwe anwai kwenye TV? Usahihi ni kwamba Yanga inataka ligi hiyo ioneshwe, lakini si kwa Azam TV ambayo haipo!