Labda bado wanayarekebisha, nimekuwa najiuliza ile difference in height kati ya platform za mabanda ya abiria na ngazi za kuingilia kwenye bus itarekebishwaje...............
walisema yataingia barabarani mwezi january na hii ni february tunaenda march, haya mabasi yataanza kazi lini? DART fungukeni bana, au bado mnapanga nauli elekezi banaa