hii ni BIG FAT LIE
windows 8 iliuza copy milion 60 kwa muda wa miez mitatu tu ya mwanzo kitu kilichopuza milioni 60 kwa muda wa miez mitatu hakijafanya chochote sokoni? hapo hakuna mahesabu ya wanaotumia kms server na piracy zao.
chief-mkwawa
hiyo BIG FAT LIE unayoisema wewe kwa kigezo cha hizo first three month ! Kwamba kutokana na hizo 60M copies zilizo nunuliwa miezi mitatu after release
basi kwahiyo windows 8 ilifanya vizuri ! Basi wewe utakuwa katika hiyo hiyo BIG FAT LIE
na ukiwa unaelewa at first watu wengi lazma wawe na nia yakukijaribu ! Kwa miezi 15 windows 8 ime sells 100M few copies than windows 7 did
Wenzako mpaka hii 8.1 walitaka iwe free tu ! Mana hakuna chochote ilichotegemewa kukifanya sokoni !
Still windows 8 ni Disaster
nina hamu kweli unioneshe hayo maneno microsoft walipotoa public release kuwa windows 8 haiwezi kufanya vizuri na haijafanya vizuri nipe link please
Tutazidi kulewa na link hivi hivi kila siku wakati hata hizo link wanaandika watu kama sisi !
BTW
Na jamaa aliyesaidia kuitengeneza hiyo windows 8 ambae alikuwa kwe jopo zima ambao walijua kwamba haitafanya vizuri anasema Microsoft wali force ! Kwa users
na walivyokuwa wakiitengeneza walikuwa na lengo ije itumike kwa users wakawaida sana !
Matokeo yake 8 imeonekana ngumu kwa targetted users kuliko kawaida ! Thats why jamaa wanaendesha mambo kibabe !
Wame stick na paln yao
Windows 8 ile Metro ilitengezwa kwa wanaotaka kufungua Facebook, kuangalia picha, na kupost baadhi ya stuffs instagram.
It's designed for your computer illiterate little
sister, for grandpas who don't know how to use that computer dofangle thingy, and for
mom who just wants to look up apple pie
recipes. It's simple, clear, and does one thing
(and only one thing) relatively easily !
Haya ndiyo aliyosema jamaa wa microsoft na ndomana nakwambia windows 8 ni yakijinga ! Si umeona hapo !
Ilitengenezwa kwa matumizi ya kawaida ! For illitarate little sisters na kwa kina mama !
Ukitaka link sema nikuwekee ! Mana ndipo tulipo sticky wabongo
user wangapi wanaolalamika? na hao wanaolalamika ni faN BOY ambao hata pc za win 8 hawana? au ni watu walionunua? na sisi kama great thinker hapa jf tunatakiwa tujudge kwa fact na sio watu wanasemaje so bwana
Leo unauliza users wangapi chief ! Watu kibao wanaolalamikia hiyo windows 8 afu unaniambia fans Boy !
You can't be serious chief !
snipa hebu niambie hivyo vitu vilivyopunguzwa toka win 7 kuja 8
tusiongelee vitu vilivyopunguzwa chief mana we umesema kila kilicho kwenye 7 kwenye 8 kipo ! Wakati ni uongo !
microsoft alimshikia bunduki apple aeke ios 7 iwe flat ui?
microsoft alimuekea vifaru google atumie flat ui kwenye service zake?
microsoft alimkaba opera ahamie flat ui?
microsoft alitumia nguvu yake kumforce fb ahamie flat ui?
la hasha wote waliamua kwa akili zao ku adapt flat ui sababu ni future,
naona unazunguka kaka ila turudi kwenye mada kama unasema win 7 ni bora kuliko 8 jeeeeeeeeeeeeeee KITU GANI KIPO KWENYE WINDOWS 7 KWENYE WINDOWS 8 HAKIPO?
Tusiondoke kwenye mada kwanza Chief ! Mana kuna point unayodai kilicho kwenye windows 7 kwenye 8 kipo !
Tukianzia na Start Button haikuwepo kwenye 8 ! We unaniambia kila kitu kipo !
Mi naendelea kukwambia kuwa
WINDOWS 8 NI WINDOWS YAKIJINGA