Hivi windows 8 ina kipi cha ziada cha kuzidi winows 7

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
kwa watumiaji na wale ambao mshawai tumiawindows 8 na 8.1 hivi hii window ina kitu gani cha ziada maana naona watu wanaipa sifa sana ,karibuni mjadala wakuu

win8_versus_win7_l.jpg
 
Windows 8 hasn't run the game !

Ndomana inakuja windows 9
windows 8 was made for touch usability !

Kwenye PC hizi non touch tunajiforce tu always nasema w 8 ni yakijinga !

win9fix3.jpg
 
windows 7 = wali nyama
windows 8= wali nyama na maharage

kila kitu cha windows 7 kipo kwenye windows 8 plus vitu vyengine. kama windows 8 ni ya kijinga basi windows 7 ni ya kijinga zaidi.

na windows 9 aka threshold haiji kuimprove desktop bali inakuja kuunganisha os zote tatu za microsoft yaani windows phone, windows rt na windows yenyewe ziwe os moja. hivyo tegemea metro kuwa improved zaidi na sio desktop. metro ndio future kaka na imekuja kukaa haiondoki. wenye akili wamesha adapt flat ui(opera, google, apple, faceboook.....) wewe endelea kusema ni ya kijinga
 
ww jamaa unaelewa wat is programming so dat y.unajua tofauti kati ya windows 8 na 7,wengine hapo ulivyo sema ui ushawaacha.wao wanajua office kwenye windows na internet explorer au crome....hawana jipya
 
  • windows 8 is specifically for touch input, while windows 7 is general although it was designed for non-touch technology.
  • windows 8 has more improvements on hardware drivers, Improved graphics hence consume more resources i.e RAM and CPU.
  • windows 8 has improved security i.e antivirus - windows defender, user accounts security etc

kwa watumiaji na wale ambao mshawai tumiawindows 8 na 8.1 hivi hii window ina kitu gani cha ziada maana naona watu wanaipa sifa sana ,karibuni mjadala wakuu

View attachment 161305
 
windows 8 = more cpu usage+ more ram + more bandwidth usage for data + fast in file transfering.
windows 7 = intermediate on all those
 
si kweli minimum requirement ya windows 8 ni ndogo kuliko ya windows 7. Inakula cpu na ram ndogo. Win 8 kwenye mashine ya 1gb ipo smooth. Kuhusu bandwitch haihusian na os ni webmaster na website zao ndo wanaohusika. Au unataka kuniambia ukidownload movie kwa win 7 inakua na mb chache kuliko 8
 
windows 7 = wali nyama
windows 8= wali nyama na maharage

kila kitu cha windows 7 kipo kwenye windows 8 plus vitu vyengine. kama windows 8 ni ya kijinga basi windows 7 ni ya kijinga zaidi.

na windows 9 aka threshold haiji kuimprove desktop bali inakuja kuunganisha os zote tatu za microsoft yaani windows phone, windows rt na windows yenyewe ziwe os moja. hivyo tegemea metro kuwa improved zaidi na sio desktop. metro ndio future kaka na imekuja kukaa haiondoki. wenye akili wamesha adapt flat ui(opera, google, apple, faceboook.....) wewe endelea kusema ni ya kijinga

Kaka tusiende mbali sana !

Windows 8 haijafanya kitu chochote kile kwenye soko !

Haya sio maneno yangu microsoft wenyewe wameliona hili !
Na haiwezi kuendelea kufanya vizuri !

Na ingekuwa 8 ina kila kitu ilicho nacho 7 basi users wasingelalamikia !

Na microsoft hujawajua wanaenda mbele na hiyo flat GUI ambayo itakuwepo hata kwenye 9 ni kibabe tu kulingana na aibu waliyoipata kutoka kwa users kutoipokea vizuri hiyo GUI !

Na 9 ingekuja na Aero lakini wao wameona itakuwa kama ni Review ya windows 7 !

Tukiongelea window acha tuzungumzie kwanza its appearance ! Hiyo GUI flat microsoft wataendelea nayo kuepuka kurudi nyuma !

Na Metro yenyewe its appear to do nothing !

Naomba uitoe hiyo kauli ya kwamba 8 ina kila kitu ilichonacho 7

ingekuwa kweli microsoft wasingeona wame thrown a baby on a water bath ! Na hiyo 8 !
 
Simply any feature in an OS will consume RAM n CPU, any additional feature will consume extra resources.
and If win 7 is Inside win 8 plus other features , what would you expect on RAM and CPU usage.

In Real life experience, WIN 8 consumes More RAM n CPU than WIN 7......

[h=1]Windows 7 system requirements[/h]

If you want to run Windows 7 on your PC, here's what it takes:

  • 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor
  • 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM (64-bit)
  • 16 GB available hard disk space (32-bit) or 20 GB (64-bit)
  • DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0 or higher driver

[h=1]System requirements[/h]

[h=4]Windows 8.1[/h] If you want to run Windows 8.1 on your PC, here's what it takes:

  • Processor: 1 gigahertz (GHz) or faster with support for PAE, NX, and SSE2 (more info)
  • RAM: 1 gigabyte (GB) (32-bit) or 2 GB (64-bit)
  • Hard disk space: 16 GB (32-bit) or 20 GB (64-bit)
  • Graphics card: Microsoft DirectX 9 graphics device with WDDM driver

namuunga mkono chief-mkwawa windows 8 ni light and smooth hata kwa ram ya 1GB,. pia ina'start up within a minutes bila kukuna nazi kama windows 7.
  • And the funny story is...
Wakati windows 8 inatoka toka 2012 naamini kwamba chuoni kwetu pale SUA mimi nilikuwa mtu wakwanza kwanza kuiweka windows kwenye PC yangu. Kuna siku ilikuwa presentation during class lesson na presenter anapanda na PC yake binafsi then kuna projector mbele pale just plug and play.
Kitu kukawakia kwenye start menu bwana, unaambiwa darasa zima liliduwaa huku sauti za chini sikitanda kuulizana "ile ndio windows 8?" baada ya kipindi kuisha nilipokea order za windows 8 installation kwa watu kibao, nlipiga hela kiasi sio saaana.
 
Last edited by a moderator:

Wewe hiyo start screen unayoisifia unadhani ina kazi gani ?
 
Last edited by a moderator:
Simply any feature in an OS will consume RAM n CPU, any additional feature will consume extra resources.
and If win 7 is Inside win 8 plus other features , what would you expect on RAM and CPU usage.

In Real life experience, WIN 8 consumes More RAM n CPU than WIN 7......

[h=1]Windows 7 system requirements[/h]

If you want to run Windows 7 on your PC, here's what it takes:

  • 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor
  • 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM (64-bit)
  • 16 GB available hard disk space (32-bit) or 20 GB (64-bit)
  • DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0 or higher driver

[h=1]System requirements[/h]

[h=4]Windows 8.1[/h] If you want to run Windows 8.1 on your PC, here's what it takes:

  • Processor: 1 gigahertz (GHz) or faster with support for PAE, NX, and SSE2 (more info)
  • RAM: 1 gigabyte (GB) (32-bit) or 2 GB (64-bit)
  • Hard disk space: 16 GB (32-bit) or 20 GB (64-bit)
  • Graphics card: Microsoft DirectX 9 graphics device with WDDM driver
ushawahi kusikia kitu kinachoitwa optimization? technology ya microsoft ya mwaka 2009 haifanani na ya mwaka 2012 ndio maana wakaweza kuweka vitu vingi kwenye operating system na still ikawa nyepesi. mimi mwenyewe nilivyoupdate kwenda kwenye win 8 muda wa kukaa na chaji ukaongezeka, nikaweza hadi kurun apps ambazo mwanzo zilikuwa zinalag. angalia hii test iliofanywa na pc mag windows 8 imedestroy win 7 kila kitu kasoro tu kuhamisha file na tena hii ni kwa sababu win 8 ikihamisha file inafanya 2 in 1, inahamisha file na kuscan malware.

Windows 8 vs Windows 7: Speed Tests | PCMag.com
 
Win 8 ni nyepesi zaidi na fast kuliko win 7. Nmeliona hilo baada ya kuupdate win 7 ultmate yangu.
 
Kaka tusiende mbali sana !

Windows 8 haijafanya kitu chochote kile kwenye soko !
hii ni BIG FAT LIE
windows 8 iliuza copy milion 60 kwa muda wa miez mitatu tu ya mwanzo kitu kilichopuza milioni 60 kwa muda wa miez mitatu hakijafanya chochote sokoni? hapo hakuna mahesabu ya wanaotumia kms server na piracy zao.

Haya sio maneno yangu microsoft wenyewe wameliona hili !
Na haiwezi kuendelea kufanya vizuri
nina hamu kweli unioneshe hayo maneno microsoft walipotoa public release kuwa windows 8 haiwezi kufanya vizuri na haijafanya vizuri nipe link please

Na ingekuwa 8 ina kila kitu ilicho nacho 7 basi users wasingelalamikia !
user wangapi wanaolalamika? na hao wanaolalamika ni faN BOY ambao hata pc za win 8 hawana? au ni watu walionunua? na sisi kama great thinker hapa jf tunatakiwa tujudge kwa fact na sio watu wanasemaje so bwana snipa hebu niambie hivyo vitu vilivyopunguzwa toka win 7 kuja 8

Na microsoft hujawajua wanaenda mbele na hiyo flat GUI ambayo itakuwepo hata kwenye 9 ni kibabe tu kulingana na aibu waliyoipata kutoka kwa users kutoipokea vizuri hiyo GUI !

Na 9 ingekuja na Aero lakini wao wameona itakuwa kama ni Review ya windows 7 !

Tukiongelea window acha tuzungumzie kwanza its appearance ! Hiyo GUI flat microsoft wataendelea nayo kuepuka kurudi nyuma !

Na Metro yenyewe its appear to do nothing !

Naomba uitoe hiyo kauli ya kwamba 8 ina kila kitu ilichonacho 7

ingekuwa kweli microsoft wasingeona wame thrown a baby on a water bath ! Na hiyo 8 !

microsoft alimshikia bunduki apple aeke ios 7 iwe flat ui?

microsoft alimuekea vifaru google atumie flat ui kwenye service zake?

microsoft alimkaba opera ahamie flat ui?

microsoft alitumia nguvu yake kumforce fb ahamie flat ui?

la hasha wote waliamua kwa akili zao ku adapt flat ui sababu ni future,

naona unazunguka kaka ila turudi kwenye mada kama unasema win 7 ni bora kuliko 8 jeeeeeeeeeeeeeee KITU GANI KIPO KWENYE WINDOWS 7 KWENYE WINDOWS 8 HAKIPO?
 
Last edited by a moderator:
windows 7 = wali nyama
windows 8= wali nyama na maharage

kila kitu cha windows 7 kipo kwenye windows 8 plus vitu vyengine. kama windows 8 ni ya kijinga basi windows 7 ni ya kijinga zaidi.

na windows 9 aka threshold haiji kuimprove desktop bali inakuja kuunganisha os zote tatu za microsoft yaani windows phone, windows rt na windows yenyewe ziwe os moja. hivyo tegemea metro kuwa improved zaidi na sio desktop. metro ndio future kaka na imekuja kukaa haiondoki. wenye akili wamesha adapt flat ui(opera, google, apple, faceboook.....) wewe endelea kusema ni ya kijinga
Umemjibu vyema. Hao ni wale ambao mpaka leo wanasifia santuri kisa tu hawana mashine za CD
 
Kaka tusiende mbali sana !

Windows 8 haijafanya kitu chochote kile kwenye soko !

Haya sio maneno yangu microsoft wenyewe wameliona hili !
Na haiwezi kuendelea kufanya vizuri !

Na ingekuwa 8 ina kila kitu ilicho nacho 7 basi users wasingelalamikia !

Na microsoft hujawajua wanaenda mbele na hiyo flat GUI ambayo itakuwepo hata kwenye 9 ni kibabe tu kulingana na aibu waliyoipata kutoka kwa users kutoipokea vizuri hiyo GUI !

Na 9 ingekuja na Aero lakini wao wameona itakuwa kama ni Review ya windows 7 !

Tukiongelea window acha tuzungumzie kwanza its appearance ! Hiyo GUI flat microsoft wataendelea nayo kuepuka kurudi nyuma !

Na Metro yenyewe its appear to do nothing !

Naomba uitoe hiyo kauli ya kwamba 8 ina kila kitu ilichonacho 7

ingekuwa kweli microsoft wasingeona wame thrown a baby on a water bath ! Na hiyo 8 !
Hata Rolls Royce haijafanya vizuri kwenye soko ukilinganisha na Toyota Corolla
 
Back
Top Bottom