Hivi wenzetu wanaleaje sisi tushindwe?

Hivi wenzetu wanaleaje sisi tushindwe?

Malezi ndio yamemsaidia kuwa hivyo pamoja na wazazi kuwa wawazi kwa mtoto;kuna uwezekana mkubwa huyo binti alipokuwa mdogo alikuwa anasaidia/kufundishwa kufanya kazi ndogo ndogo kama; kufua,kupika,kuwajali wazazi n.k na pia wazazi kuwa wawazi na kumuelewesha binti namna wanavyopata pesa kwa ajili ya kuendeshea maisha na kuwasomesha.Mwisho wa siku mtoto lazima awe na uchungu na familia yake.
 
Back
Top Bottom