Akuuu! Wewe ndio unatakiwa unipe.Mimi
Ukahonge?Akuuu! Wewe ndio unatakiwa unipe.
Kweli mkuu sio wote lakini kwa asilimia kubwa watoto wa kike sio wakuamini 100%......muongoza kwaya kanisani kwetu ni bint mpole mnyenyekevu msikivu sana ana hofu ya Mungu kweli kweli.....eti ana ujauzito wa miazi minne wakati hana ndoa can you imagine waumini wengine wanadhani uenda ni ya roho mtakatifu.....Hapana sio wote huwa wanapretend, sometimes inatokea wanaanguka tu dhambini kwa udhaifu tu wa kibinadamu. Sio malaika hao ati!!
Hapana, nina matumizi nazo[emoji6]Ukahonge?
I can emagine, tena hao wa hivyo ndio hata usishangae maana majaribu huwaandama sana maana wametangaza vita na shetani. Sasa yamemkuta huoni mmempa shetani nguvu kwa kumsakama kama hivi!!!Kweli mkuu sio wote lakini kwa asilimia kubwa watoto wa kike sio wakuamini 100%......muongoza kwaya kanisani kwetu ni bint mpole mnyenyekevu msikivu sana ana hofu ya Mungu kweli kweli.....eti ana ujauzito wa miazi minne wakati hana ndoa can you imagine waumini wengine wanadhani uenda ni ya roho mtakatifu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa sana wakirudi home wakati wa likizo unaweza kuona binti mtakatifu kushinda mtume Paulo (kwa sisi wakristo ) subiri aondoke arudi zake chuo afu kwa coicedence tu ukaonane nae unaweza kutana na mtoto wa shetani akiwa amevaa nguoHongera zake, ila tabia ya ma binti wengi ni pretenders hata mzazi wake nivigumu kujua her true colors.....siku atakavo ku surprise unaweza ukachanganyikiwa never take mtoto wa kike for granted.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Chalii ulichokiona cha tofauti kwa huyo mtoto ni kipi na hawa waliovurugwa ni kipi?[emoji3][emoji3] bro hamna bana unajua dunia ya sasa mambo yamekuwa tofauti na zamani. Malezi ya siku hizi hayategemei wazazi tu. Dunia nzima inahusika sasa kupata mtoto wa age hiyo mwenye tabia hizo ni ngumu ndio maana madame hapa anashangaa inakuaje kuaje.
Mkuu nahisi hili swali ni ngumu zaidi ya kumeza kitunguu swaumu kibichi
She tani huwa hachezi mbali na watumishi wa bwana maana ushindi wake ni mkubwa.I can emagine, tena hao wa hivyo ndio hata usishangae maana majaribu huwaandama sana maana wametangaza vita na shetani. Sasa yamemkuta huoni mmempa shetani nguvu kwa kumsakama kama hivi!!!
Unajua 'teens' ni foolish age, ni ngumu upate huyo mtoto ana 19years na still hajakuwa exposed kwenye ushenzi wa dunia.Chalii ulichokiona cha tofauti kwa huyo mtoto ni kipi na hawa waliovurugwa ni kipi?
Ukinijibu hapo, niambie kuharibika kwake ni kwa kiasi gani hutegemea mazingira ya nje?
Ni kuwa brain ina fight chemical changes za mwili sasa hapa environmental factor inachangia. Anajichanganya na nani.Unajua 'teens' ni foolish age, ni ngumu upate huyo mtoto ana 19years na still hajakuwa exposed kwenye ushenzi wa dunia.
Kuna exceptions siku zote japo ni rare ila naamini exceptions zipo.
Ana miaka 19..but yet ni tofauti na kitabia na watoto wengine kiasi hata mleta mada kashangaa.Unajua 'teens' ni foolish age, ni ngumu upate huyo mtoto ana 19years na still hajakuwa exposed kwenye ushenzi wa dunia.
Kuna exceptions siku zote japo ni rare ila naamini exceptions zipo.