wewe mtoto eeeeh!?bintiako kama mzuri niku2mie barua nipe comtact.
<br />Mimi ukimsifia demu wangu, naona raha sana. Maana ninajisifu kuwa, nimeopoa kifaa cha ukweli.
<br />bintiako kama mzuri niku2mie barua nipe comtact.
kweli mkuki kwa nguruwe..Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo nasifiwa kuwa mke wako au binti yako ni mzuri. Nahisi kama huenda jamaa either wanamtaka mke wangu au binti yangu. Lakini huwa siumii sana endapo akina mama wanapomsifia kijana wangu kuwa ni handsome. Wenzangu mliokuwa na mabinti mkasifiwa mnajisikiaje?
duh! Hayo mengine sasa. Hapo atapigika mtu. Patachimbika. Ohhoooo!Je nikisema demu wako ni bomba kwenye 6 kwa 6?