Hivi wenzangu huwa mnajisikiaje????

lidoda

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
641
574

Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo ’’nasifiwa’’ kuwa mke wako au binti yako ni mzuri. Nahisi kama huenda jamaa either wanamtaka mke wangu au binti yangu. Lakini huwa siumii sana endapo akina mama wanapomsifia kijana wangu kuwa ni handsome. Wenzangu mliokuwa na mabinti “mkasifiwa” mnajisikiaje?
 
huo ni vivu lakini haya yote mwachie Mungu huwezi kumlinda bitiyo hata mke wako kikubwa mshirikishe Mungu
 
mkuu hizo ni just compliment kwa wanao na mke wako ila kama mna uaminifu wa kutosha na ndoa yako wala usiwe na haja ya kufikiria sana kwa mkeo
Ila kwa binti mhhh hapo mwambie tuu wazi awe makini hao hawana nia nzuri na yeye
 
wengine hata hawamaanishi. kuna mtu anajisemesha 'u got such a cute baby' wakati katoto kenyewe ugly kama mzazi wake,hahaha (im just lightening the mood. watoto wote ni wazuri aisee. nenda kwa mbu kule ujifunze kuimarisha zizi lako
 
Kiarabu ukimsifia mke wa mtu uzuri - au mara nyingine kumtaka mume amfikishie salamu tu, kama si ndugu yako- unaweza kuleta ugomvi.

Lakini hii ni function ya backward societies.

Wenzetu wanatafuta cure of cancer and grand unified theory, sie tunaendekeza wivu.

Kama hutaki wenzako waone mkeo mzuri usioe.
 
sio kosa lako ni wivu kwa mkeo bt kwa mtoto wako inaonyesha ww huwa unapitia watoto wa watu sana au pia huwa unasifia sana watoto wa wtu sana,so unachojisikia ww unapomsifia bint wa watu ndicho anachojisikia mwanaume mwenzio anapomsifia bint yako na ndio mana unajisikia vibaya pia ni wivu huo.so kama ni kweli nilichokiandika basi acha.
 
Mi nikisifiwa poa, mimi hata akitongozwa mke wangu ndo najua kumbe naishi na kitu bomba, mkeo kama ni kumegwa anamegwa tu kisela. Ukinambia hujawai chakachua nje, utakuwa unatudanganya, ujue mkeo nae ana mtu wake, swala la kumuonea wivu hadi binti ako huo uzushi, achana na io mambo.
 
Mimi ukimsifia demu wangu, naona raha sana. Maana ninajisifu kuwa, nimeopoa kifaa cha ukweli.
 
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo ’’nasifiwa’’ kuwa mke wako au binti yako ni mzuri. Nahisi kama huenda jamaa either wanamtaka mke wangu au binti yangu. Lakini huwa siumii sana endapo akina mama wanapomsifia kijana wangu kuwa ni handsome. Wenzangu mliokuwa na mabinti “mkasifiwa” mnajisikiaje?
kweli mkuki kwa nguruwe..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom