Hivi website ya sua ina matatizo gani ??

Hivi website ya sua ina matatizo gani ??

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Waungwana nimekua nikijaribu kufungua website ya sua kwa wiki sasa lakini haifunguki au ndo tuseme mimi ndo nnaekosea?
 
sasa inafunguka lakini kuna kipindi ilikuwa haifunguki.

kuna mtu namfahamu ambayeTCU wamempa admission ya BRD lakini kwenye orodha ya SUA hayupo - sijui ndo toleo la kwanza hili ukiacha wale waliopata admission katika Second selection
 
Back
Top Bottom