Hivi waziri wa uUchukuzi Bw. Macharia alitudanganya kuhusu KQ kurudishiwa kibali Tz?

Zilikuwa 42 route zikapunguzwa bado akili haifanyi kazi wanatafuta mbinu mbovu za kufanya economic hijack kwa Tz.
Sasa Zero route.
 
Nyie wakenya mnashangaza sana, huku Tz kuna corona kama mnavyosema, sasa mnataks ndege zenu zije kufanya nn???
Ni nini mnapata ndege zenu kuja huku? Mbona sisi hatulalamiki ndege zetu kutokuja huko?
 
Back
Top Bottom