Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,464
Na uhuru kenyataMlikuwa mnalishwa matango mkiwa na nani na wapi?
Alikuwa na MK254 and othersNa uhuru kenyata.
Saangapi wakati bado anakula bangi na milungi!Na uhuru kenyata.
Tatizo Kiswahili sio lugha yako wenye Kiswahili tunaelewa nn kamaanisha.Mlikuwa mnalishwa matango mkiwa na nani na wapi?
Hapa unaelewa kinacho endelea?Tatizo Kiswahili sio lugha yako wenye Kiswahili tunaelewa nn kamaanisha.
Haita kuwa Raahisi Hivyo
Kwakuwa walijichomeka kaa la moto
Hata sisi tulikuwa tunawatafutia sababu wametuchokonoa sana
Hapa KQ ili aingie Bongo lazima Makubariano mapya yafanyike
Pia Mikataba ya Mabenk na KQ yenyewe Yapitiwe upya
Lazima Tuanze upya
Hakuna Kulala tena
Ile kauli ya Shamba la bibi Kwaheri
Matango pori ni maneno yasiyokua na ukweliMlikuwa mnalishwa matango mkiwa na nani na wapi?
Zije zifanye nini Kwa watanzania wenye Corona?Wakuu,
Nilimusikia macharia akisema mambo shwari sasa, hivi alikuwa anatulisha matango pori au nini?? Ndege za KQ bado marufuku. Hakuna ilotua bongo.
Ulifikiri sijui 😁😁Matango pori ni maneno yasiyokua na ukweli
Sasa ulikua unauliza nini kama ulikua unajuaUlifikiri sijui