Hivi waziri wa uUchukuzi Bw. Macharia alitudanganya kuhusu KQ kurudishiwa kibali Tz?

Haita kuwa Raahisi Hivyo
Kwakuwa walijichomeka kaa la moto
Hata sisi tulikuwa tunawatafutia sababu wametuchokonoa sana
Hapa KQ ili aingie Bongo lazima Makubariano mapya yafanyike
Pia Mikataba ya Mabenk na KQ yenyewe Yapitiwe upya
Lazima Tuanze upya
Hakuna Kulala tena
Ile kauli ya Shamba la bibi Kwaheri
 
Safi sana, mimi nilikua nataka wapigwe ban ya mwaka kabisa.

Na watakula hasara ya kufa mtu sababu Tanzania ni top notch market to KQ.
 
Si walituambia wangeanza Jana mkuu?au ndio maana sikuskia kauli ya kiongozi yeyote wa TZ hata baada ya Macharia kupiga domo?
 
CRDB, NMB, DCB, Mufindi Community Bank (MCB), NBC, zote kufungua matawi kenya pia Air Tanzania kuanza ruti za Nairobi na Mombasa via Kilimanjaro, Zanzibar.

Bila hivo hakuna KQ kukanyaga bongo.
Haita kuwa Raahisi Hivyo
Kwakuwa walijichomeka kaa la moto
Hata sisi tulikuwa tunawatafutia sababu wametuchokonoa sana
Hapa KQ ili aingie Bongo lazima Makubariano mapya yafanyike
Pia Mikataba ya Mabenk na KQ yenyewe Yapitiwe upya
Lazima Tuanze upya
Hakuna Kulala tena
Ile kauli ya Shamba la bibi Kwaheri
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom