Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,789
- 165,485
- Thread starter
-
- #81
Kama ni mzazi wako au babu yako sema tu tukuelewe.Mmezoea kuishi kwa uongouongo na kuhadaa watu mkidhani mnaongoza watoto wadogo.Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Hoja hii ni muhimu sana kama unataka kulitendea haki taifa hili, ila kama unataka kutendea haki matamanio yako unaweza kuipuuza! .....................waziri mkuu atakuwa hajarudi Dodoma maana jana ameonekana Dar akiongea na wachina wakajenge makao makuu Dodoma!Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Hata ningekuwa mimi ningejidai nimehamia aisee , kumbe kuhamia walikomaanisha ni kufika na begi mgongoni , na kuzugazuga siku 3 halafu unajiondokea zako kurudi ulikotoka !Huu mkurupuko wa kuhsmia ddm kimwendokasi utawakosti sana. Ona sssa analazimika kusafiri dom-dar mara kwa mara which means budget yake inngezeka msra mbili bila sababu za msingi. Kisa? Amelazimika kutimiza ahadi yake aliyoitoa ya kuhamia fasta! Bila tafakuri. Ddm hakukendki wala hakukaliki!
Hakika dunia haina huruma ! Mkuu leo umekuwa wa kutetea hadi Majaliwa !Haya sasa magoli; kwa hiyo kama amehamia Dodoma hapaswi kwenda tena Dar kikazi au mikoa mingine? Kilichohamia ni ofisi yake na makazi yake rasmi; hii haina maana hatokwenda Dar au mikoa mingine kufanya kazi mbalimbali.
Eti cha Magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajarudi mkuu nilimuona jana kwenye taarifa ya habari anazindua ujenzi wa kiwanda cha magari kama sijakosea
ha haa haaa ndio alivyosema mkuu....nimesahau aina gani ila walitajaEti cha Magari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mtu mjinga sanaWe jamaa huwa natafakari nashangaa Sana nashindwa kukuelewa Nia ya maadA zako.. Kama Kuna kipindi ulikuwa unaandika maadA za kumtaka Rais awape pole wahanga WA tetemeko KIUFUPI maadA zako zipo kimbeya mbeya Sana acha leo nikwambie.. Sijui unakuwaga unawaza nini Sasa Kwa mfano unatuuliza sisi kama waziri mkuu kaenda dodoma.. JE KWA MFANO KAMA JIBU NI KUWA NDIO AMESHAREJEA,, MANTIKI YA SWALI LAKO ITAKUWA NI NINI? AU HATA KWA MFANO JIBU LIKAWA HAJARUDI BADO HAINA MAANA. LETE MAADA ZENYE KUSHIBA KAKA.. NAIMANI SIJAKUTUKANA NIMEKUREKEBISHA NAFURAHI UKIBADILIKA
Sio kweli mimi sio mtu mjinga.Wewe mtu mjinga sana