Hivi Waziri Mkuu amesharudi Dodoma?


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa makampuni ya Azam Bwana Said Salim Bakhresa ambapo alimueleza waziri mkuu nia yake yakuendelea kujenga viwanda zaidi vya kusindika matunda na chakula mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa waziri mkuu magogoni Dar es salaam leo.
 
chezea daresalaam wewe.
 
Dodoma pagumu na lile jua,hawachelewi kukuchoma moto wakikuhofia ni mnyonya damu
 
Asante hatimae nimepata majibu.
 
Hivi unadhani mtu kuondoka Dar ni kirahisi rahisi tu?
Kwani yeye hapendi kuona mabinti warembo?
Hapendi kusikia ndege zikipaa angani?
Hapendi pita karibu nabahari kila siku?
 
PM hajitambui wala hawezi kuwa msaidizi wa Rais kwa wadhifa wake maana naamini JPM anamdharau sana kwa maana ya shule yake n brain (IQ)....yeye amewekwa tu pale kama bosheni!! Atulie aje apate kiinua mgongo ale akiwa amestaafu kwa amani! Active politics na kupambana na Magu hawezi heri hata Samia!!! Akiambiwa nenda Dodoma anaenda aiambiwa rudi dar anarudi! Hana strong points ku argue!! Namuonea hurumaaa
 
mawaziri wako dar kiongozi wao yuko dom!??! Ilipaswa ahame na mawaziri wake kwawakati mmoja. Nimuhimu kwa waziri mkuu kuwa karibu na mawaziri na kushuhudia utendaji wao Pia kuweza kuonana Nao ana kwa ana kirahisi.
tusipende kulazimisha long term plan kuwa short term plan...tutachekesha
 

Hhhhhh... Umeua
 
Eti Dodoma pigweni fiksi Dodoma haiwezekani kienyeji hivyo ni mpango wa miaka mingi vinginevyo wananchi tuamue kula majani kama mbuzi kama viongozi hawatupendi lakini kama wanatupenda kama baba wa taifa alivyokuwa akitupenda huko dom si leo wala kesho BONGO kama kawa
 
Wahindi kimwili wapo Tanzania lakini moyoni wapo India.
 
Wewe mwenyewe utakuwa na sifa hizo za wambea bilashaka,imekuwajekuwaje umeacha kazi wanazofanya vijana wa kiasia ukaja humu kufungua uzi huu wa kimbea ukausoma na kucomment?
 
Mtu mwenye sifa ya akili kubwa atakuwa amemuelewa mtoa mada vizuri tu ila sidhani wewe kwa swali lako kama utakuwa na hiyo sifa adhimu ya kumuelewa mtoa mada.Nikusaidie japo kidogo unajua kuwa kwa sasa makazi ya Wairi mkuu yako Dodoma?Unajua kuwa Waziri Mkuu alisema kwa sasa anayemuhitaji amfuate Dodoma?Sasa hoja ya mtoa mada imejengwa hapo?
 

Inahitajika ukapimwe akili mirembe kama sio kuwa admitted kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…