Hivi waungwana Chicharito wa Man U,ameoa kweli?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi waungwana Chicharito wa Man U,ameoa kweli??

Discussion in 'Sports' started by Toto la kikurya, Feb 10, 2011.

 1. Toto la kikurya

  Toto la kikurya New Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji kujua kwani nawish vitu vingi,vilivyo nje ya uwezo!!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bado mtoto!Aowe ili iweje? Hataki stress
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nenda akakuoe wewe.......................maisha yankuhusu nini tunashindwa kushauri mgomo wa nchi nzima juu ya mafisadi tunawaza upumbaavu
   
 4. Toto la kikurya

  Toto la kikurya New Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo mambo ya mgomo ingia kwenye page ya siasa,nipo kwa entertain hapa,jibu swali na sio kuachia dongo,,,,kijana aje ww?
   
 5. Toto la kikurya

  Toto la kikurya New Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaa,nani kakwambia kuoa ni stress??
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ingia website ya man.u kuna sehemu unaweza kutuma ujumbe kwa sir alex na ukapata jibu,au mtafute kwenye twitter umuulize.
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  majuu wachezaji wengi huwa hawaowagi, kwani wanawake wengi ni wasumbufu na wanyonyaji
   
 8. k

  kiwadama Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kwann umemulizia chacharito na cyo rafael, unataka kumanisha nn
   
 9. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umemzimia nini?
   
 10. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Mweleze mjinga huyu, itamsaidia nin hata akijua!?
   
 11. Tumaini edson

  Tumaini edson Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajaoa na hata angehitaji mke siwezi mshauri aoe Bongo, hizo n tamaa zenu tu wanawake wa Tz, hamna mapenzi ya Dhati ndio maana tulibuni jina muafaka la VICHECHE.
   
Loading...