Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Kwa video hii kabla ya kuwa Rais, Mhe. anasikika akisema akiwa Rais watu watalimia meno kwa namna fulani ya masihara.
Kuna msemo 'masihara na ukweli.'
Pia kulimia meno ni lugha ya picha ikimaanisha 'maisha magumu' au ''kupata kipato kwa 'mbinde' haswa.''
Je, haya masihara yamekaaje kwa mtazamo wako?
Kuna msemo 'masihara na ukweli.'
Pia kulimia meno ni lugha ya picha ikimaanisha 'maisha magumu' au ''kupata kipato kwa 'mbinde' haswa.''
Je, haya masihara yamekaaje kwa mtazamo wako?