Hivi watu hawajaanza tu 'kulimia meno' kwa muijibu wa masihara ya Mhe. President?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kwa video hii kabla ya kuwa Rais, Mhe. anasikika akisema akiwa Rais watu watalimia meno kwa namna fulani ya masihara.
Kuna msemo 'masihara na ukweli.'
Pia kulimia meno ni lugha ya picha ikimaanisha 'maisha magumu' au ''kupata kipato kwa 'mbinde' haswa.''

Je, haya masihara yamekaaje kwa mtazamo wako?
 
Mkuu si ndio kama hivi Mzee baba sa hizi tunapalilia kwa meno baada ya kulimia meno
 
mpaka sasa sijaona kama kauli yake ilikua na masihara...100% seriouz , wacha watanzania tuendelee kulimia meno!
 
Born town,watarudi wale waliokuja wakakuta stand iko mnazi mmoja.
 
Back
Top Bottom