Hivi Wastaafu mnanini?

Hivi Wastaafu mnanini?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,783
Mtu wangu wa karibu kastafu na kapata pension yake.Toka tuzaliwe hajawahi kufanya kilimo cha biashara maisha yake.Kwa sasa ameanza shughuli za kilimo na kawekeza 20,000,000 na anategemea kupata faida 50,000,000.,Nimeshauri asiwekeze hela zaidi maana kilimo hakieleweki.ila naona Wastaafu wengi hela zinawachanganya sana.
 
Umemshauri awekeze kwenye nini chenye tija zaidi Kwa mawazo yako?
 
Mifuko ya Hifadhi naona huwa inawapa mafunzo kabla ya kuwalipa lakini naona bado😅
 
Mtu wangu wa karibu kastafu na kapata pension yake.Toka tuzaliwe hajawahi kufanya kilimo cha biashara maisha yake.Kwa sasa ameanza shughuli za kilimo na kawekeza 20,000,000 na anategemea kupata faida 50,000,000.,Nimeshauri asiwekeze hela zaidi maana kilimo hakieleweki.ila naona Wastaafu wengi hela zinawachanganya sana.
Awapelekee matapeli wa VANILA
 
Labda alikuwa na hizo plan kabla hajapata hizo hela. Halafu nilifikiri labda Una wazo mbadala kumbe ni woga tu.
Mashamba yako mbali anaenda Mara moja moja ndo mana namshauri aachane na kuwekeza hela zaidi sehemu ambapo hayupo available
 
inatia huruma sana kwa wastaafu wetu, halafu wizara ya utumishi imewatupa hakuna mtu anaewajali watu hawa muhimu. Mafunzo ya kustaafu yanatakiwa kuanza mapema sana walau miaka kumi kabla ya kusaafu ili mtu ajipange na kujifunza mambo mbalimbali. Mungu awasaidie wazee wetu.
 
Back
Top Bottom