Tukianza kudadisi sifa za kila KABILA humu, watu wataishia kutiana vidole vya macho...............Kwa mtazamo wangu sidhani kama ni busara sana kudadisi tabia za makabila in general, watu watakwazana humu kwa sababu kama kuna mtu alitendwa na mtu wa kabila hilo, ndio atapata nafasi ya kumaliza hasira zake..........
Na tusipoangalia kila mtu atakuja hapa akitaka kujua sifa za kabila fulani na matokeo yake tutajikuta tukijadili makabila badala ya mambo ya msingi...........................
.........halafu pia sifa zao nyingine ni kwamba wamejazana sana kariakoo ktk shughuliza kubeba mizigo na wabishi kinoma( kwa upande wa wanaume)
Wabeba magunia wazuri
wanapatikana sana wilayani Lushoto, kuanzia maeneo ya Soni, kongei, lushoto mjini, lukozi, mtae, mlalo, ngwelo, mlola.
Wadada wakisambaa ni wakarimu sana ni vigumu ndoa kuvunjika ukiwa na msambaa Pia kuna uhakika wa kula mzigo mwanzo mwisho mwenyewe swala la kuchepuka kwao ni F yani wanalizika sana ila mbulu na mhaya utasaidiwa sana na masela
kwa upande wa wasambaa source ni mimi mwenyewetoa source mkuu....!!!!!!
Waghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Wadada wakisambaa ni wakarimu sana ni vigumu ndoa kuvunjika ukiwa na msambaa Pia kuna uhakika wa kula mzigo mwanzo mwisho mwenyewe swala la kuchepuka kwao ni F yani wanalizika sana ila mbulu na mhaya utasaidiwa sana na masela
kwa upande wa wasambaa source ni mimi mwenyewe
Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
Waghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Waghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Mghoshi ijo n'dashi ekana najo..
Ijo jaahuma kiau, wazakakata kaja kachalii kabumbui mwekiti iviaha watationdeeza kwa waumbujeshu mosie, newakaje visiku vya wanine zawe mosie.
Ijo jaahuma kiau, wazakakata kaja kachalii kabumbui mwekiti iviaha watationdeeza kwa waumbujeshu mosie, newakaje visiku vya wanine zawe mosie.
Waabubukulwa ni mafu awa, ekana nawo