Mwanamke ukitaka uendane nae kila mda fanya UPDATE.
Na kingine usieleweke sana kwake.
Na usije ukarogwa ajue unampenda.
Ukimweka kweny himaya yako kuwa na kajeuri kwa mbali.
zingatia kwa mbali yaan uwe unamajar kama humjari iv kumbe upo unamjari.
Badala wew uteseke yeye ndo atateseka juu yako.
Sema usije ukajisahau ukaona kama madhaifu yake umchape.
Unatesekaje na wanawake, anza kujipenda wewe mwenyewe, jiheshimu,focus kwenye kujijenga kiuchumi, linda afya yako.... hawa jinsia ya pili watajileta wenyewe