Hivi wanawake wanapenda wanaume wa muonekano upi?

Eventually handsome boy wa jf huyu hapa!!!

Kuna mzazi ameshapigwa na kitu kizito kichwani!
JamiiForums1776703299.jpg
 
Jamani hivi hii ipoje? Mimi ni mwanaume ambae mungu kanijalia muonekano mzuri kidogo pia najipenda sana kimavazi sasa kiukweli mimi haipiti wiki bila kutongozwa na mwanamke imefikia kipindi mimi ninakuwa wanawake wengi sana kila demu nitakaemtaka nampata hata awe mzuri vpi nampata


Maisha yangu nishatembea na mademu zaidi ya 60 yaani isitoshe ni kuwa kuna demu mtaani kwetu ni mrembo analinga mno marafiki zangu wamejaribu kumtongoza wameshindwa ila mimi nilikutana nae juzi njiani demu kaniomba namba zangu jsna ananiambia ananipenda leo nimemleta ghetto nimemla wadau hawaamini nimempataje

Nina visa vingi ila swali langu ni ili hivi wanawake mnapenda wanaume wa dizaini ipi? Na je mimi nina jini mahaba hau nini maana wanawake wananiganda mno?
Tangu ujiunge JamiiForums yaani jukwaa limekuwa kama darasa la tano B, darasa ambalo vijinywele sehemu za siri vinaanza kuota.

Mara useme wewe ni mrembo sana, kila mwanamke anakutaka. Mara hujui wanawake wanapenda zaidi wanaume wa aina gani.
Mara umeota Simba imefungwa na Namungo, ndoto yako ikabuma.
Mara uote Azam kaifunga Simba.

Dogo, punguza speed na mkono wa Bwana utatenda makuu juu yako.

Mungu huwapenda walio na subira
 
Back
Top Bottom