Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

Buzi Maarufu kwanza nikuonye uache mara Moja kumla mtoto wa dada yako. Umeifunua tupu ya dada yako na mama Yako. Ni laana.

Naamini Kati ya
Aisha
Mjomba na
Mke

Wewe ni Mjomba umekuja hapa kutafuta uhalali wa dhambi Yako
Hapana sio mimi mkuu.
 
Kama Aisha alikuwa anammendea mjomba wake sasa kwanini siku anataka kuliwa alikataa mpaka ankoli ulitumia nguvu?

Au alikataa kusudi ili aonekane hakuanza yeye?
Swali zuri sana, Lakini ukweli unabaki palepale kwamba alichokihisi mke wa Jamaa kilikuja kutokea kweli hata Kama Aisha alilazimishwa,hilo unalizungumziaje?
 
Ila mjomba ulichokifanya sio kizuri.
Huyo ni damu yako kabisa.

Muheshimu mkeo achana na huyo Aisha.
 
Hata sisi wanaume ukiona mkeo anacheka sana na jamaa mtaani au mpangaji mwenzio unaanza kuwa na mashaka.
Ishu moja wanawake huwa wanapenda sana kujichekesha au kutengeneza mazingira ya kuliwa na wanaume
 
Hao ni watu baki,Je unaweza ukahisi chochote mkeo akicheka sana na ndugu yake wa kiume?
 
Ni kweli wanawake wananusa usaliti.... Na ukiona amekaa kimya ujue anatakutafutia ushahidi.... Ukiona kapata ushahidi na ajakuuliza huyo anaehisiwa kutoka na ww anatakiwa aende mbali sana maan kitachofuata ni balaa
 
Hao ni watu baki,Je unaweza ukahisi chochote mkeo akicheka sana na ndugu yake wa kiume?
Pia unaweza hisi unakuta mkeo anamchukulia umuhimu mkubwa sana mtoto wa dada yako mpaka kumtengea chakula na sometimes kumtetea unapomfokea... Ujue hapo kuna hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…