Hivi wanawake tunawaza nini?

Hivi wanawake tunawaza nini?

ukikubali utaingia kwenye matatizo makubwa na migogoro isiokwisha..hela inaweza kosekana ikawa inalea kwingine na watoto wenu na wewe mwenyewe ukapata shida.
 
Hapo anampenda mmeo labdaa ana akili sanaa yani anapenda awe na mtoto kama mmeo.

Ni kaama mesi,obama akikupa mimba utakuja kupata wenye vipaji watoto
 
Kubali apewe baraka za bwana usihofu swala la kawaida muno kukopesha mbengu Za mahindi.
 
Mpe jina langu hapa MMU anitafute nimpe huyo mtoto pls
 
Mbona rahisi sana, mwambie mmeo mfanyane akiwa amevaa kondomu kisha beba huo mzigo wa mbegu fasta kabla hazijafa mpe huyo mama ajikamulie huko ndani, hakikisha huyo mama yupo kwenye tarehe za hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom